Ni moja muundo wa "L" Kochi ambayo ni sehemu ya kazi ya Mawope Furniture |
Mawope ni tasisi Binafsi inayojihusisha na Utengenezaji wa Sofa Pamoja na Meza za kisasa na Bora kabisa.
Tupo Maili mbili karibu na mnada wa Zamani,Huduma zetu ni Bora,Fika leo kuapata Bidhaa bora kwa bei nafuu
Tuna Vifaa vya kisasa kabisa pamoja na Mafundi walio na uzoefu kwa aina zote za mitindo ya masofa.
Tunazo bidhaa za aina tofauti na Bei zetu ni nafuu sana , bidhaa zetu ni bora kabisaa kwa kipato chako
mfano wa bidhaa zetu kama unvyo ona hapo |